Tuesday, May 23, 2017

Usafi ni siri kubwa ya mafanikio yetu.

Dresa Modern Butcher tunazingatia sana usafi wa ndani(roho safi, ukarimu n a upendo) ana usafi wa nje(mazingira safi na mpangilio mzuri), hii imekuwa ni siri kubwa ya mafanikio yetu na tunajivunia hili.


No comments:

Post a Comment

Je wewe ni mpenzi wa beef sausage za Peramiho?Tumekusogezea karibu nawe, karibu ujipendelee ndani ya DRESA Modern Butcher.