Aina za ng’ombe waliopo nchini Tanzania
1. Ng’ombe wa asili
i. Zebu
ii. Ankole
iii. Boran
2. Ng’ombe wa Kigeni/Kisasa
i. Friesian
ii. Ayrshire
iii. Guensey
iv. Jersey
v. Brown Swiss
vi. Sahiwal
3. Ng’ombe Chotara
-Ng’ombe chotara ni wale waliopatikana kutokana na kuchanganya damu za aina mbili au
zaidi za ng’ombe wa kigeni na wa asili. Ng’ombe chotara wana sifa bora mchanganyiko
za ng’ombe wa kigeni na asili.
Mpwapwa; wamezalishwa kutokana na ng’ombe aina ya Boran, zebu, sahiwal na
ng’ombe kutoka Ulaya
No comments:
Post a Comment